01 December 2013

TAZAMA PICHA 35 ZA JINSI MAMBO YANAVYOENDELEA SASAHIVI MISS TANZANIA USA PAGEANT



Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiwa meza kuu na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom kunafanyika Miss Tanzania USA Pageant sasa hizi ukumbi upo Silver Spring, Maryland.

Balozi Mulamula akisalimiana na majaji wa Miss Tanzania USA Pageant mara tu alipowasili ukumbini hapo.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na Miss Ambassador


Mhe. Balozi Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na Miss Sierra Leone

Mhe. Balozi Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na Jaji Peter Walden

Mhe. Balozi Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na aliyekua Miss District Of Columbia


Mhe. Balozi Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na Miss America

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. na Bi Matope.

Mlimbwende Jessica kutoka New York akiwakilisha ndani ya nyumba.

Mlimbwende Koku naye yupo ndani ya mjengo.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.



Aliyekuwa Miss District Of Columbia akipata ukodak moment mara tu alipoingia kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom ambapo leo ndio kilele cha kumtafuta Miss Tanzania USA Pageant.

Miss District Of columbia akiwa na Miss Sierra Leone katika picha ya pamoja na Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant, Ma Winney Casey.






















SOURCE: lukemusicfactory.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname