Roma Mkatoliki akiongea na mabest zake
Wa Mtaani huko Tanga amesema ana mpango Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa
ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Muziki wake
Kupuuzwa na Viongozi wa Taifa hili.
“Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi”…
Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop
akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing’oa CCM
Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale
Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema.
Mpaka sasa baadhi ya wanamuziki wa
Bongo Fleva waliojiunga na ambao wanampango wa kujiunga na Chama Cha
kuwakomboa wanyonge CHADEMA ni Afande Sele wa Morogoro, Joseph Haule
ambaye anajulikana kama Prof J, Soggy Doggy na Wengineo wengi.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI
No comments:
Post a Comment