mara mbili kabla katika miaka tofauti tofauti (yaani mwaka 2007 na mwka 2008).Huan amepoteza meno yake yote akiwa na umri wa miaka 25 hali inayompelekea apate shida kwenye kuongea pamoja na kula. Kijana huyo ambae amekuwa akiitwa 'China's Elephant Man amekuwa akiishi kwa shida sana,kwa mika mitano iliyopita nyama hizo zilikuwa na uzito wa 33lb (15kg) na kumsababishia matatizo ya uti wa mgongo kupelekea maumivu makali anayoyapata kutokana na kuongezeka kwa nyama hizo. Huan amefanyiwa opesheni tena kuondoa nyama hizo kwa sasa zilizokuwa na uzito wa 3.3lb (1.5kg). Opesheni yake huwa ni ya hatari sana kwani hupelekea kuvuja kwa damu nyingi sana mwili mwake.
28 December 2013
HUU NI UGONJWA HATARI!!~ TAZAMA HAPA AKIFANYIWA OPESHENI BAADA YA NYAMA KUBWA KUFUNIKA KICHWA CHAKE
mara mbili kabla katika miaka tofauti tofauti (yaani mwaka 2007 na mwka 2008).Huan amepoteza meno yake yote akiwa na umri wa miaka 25 hali inayompelekea apate shida kwenye kuongea pamoja na kula. Kijana huyo ambae amekuwa akiitwa 'China's Elephant Man amekuwa akiishi kwa shida sana,kwa mika mitano iliyopita nyama hizo zilikuwa na uzito wa 33lb (15kg) na kumsababishia matatizo ya uti wa mgongo kupelekea maumivu makali anayoyapata kutokana na kuongezeka kwa nyama hizo. Huan amefanyiwa opesheni tena kuondoa nyama hizo kwa sasa zilizokuwa na uzito wa 3.3lb (1.5kg). Opesheni yake huwa ni ya hatari sana kwani hupelekea kuvuja kwa damu nyingi sana mwili mwake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment