06 December 2013

MZEE NELSON MANDELA -SHUJAA WA AFRIKA AFARIKI DUNIA!



 
Mzee Nelson “Madiba” Mandela amefariki dunia kwa mujibu wa CNN mzee Madiba amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95.Kwa mujibu wa Rais wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema mzee Mandela amefariki Ijumaa usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu.Anatarajiwa kuzikwa baada ya siku 10 zijazo.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname