Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa ma8 nile mzigo nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumzik
Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki
No comments:
Post a Comment