Kwenye
msg yenyewe, Gail aliandika kumshukuru mpenzi wake kwamba aliinjoy
walipotoka pamoja usiku mmoja, na kumwambia ‘natamani tungekua tunafanya
hivi mara kwa mara’
Taarifa
imesema Askari huyu ambae ni mama wa watoto wawili alikua akishiriki
kwenye penzi la nje na askari mwenzake wakati mumewe akiwa kwenye safari
za kibiashara ambapo baada ya kukosea msg aliamua kujiua kwa kunywa
vidonge vingi na kujilaza kwenye buti ya gari.
Hata
hivyo pamoja na Mwanamke huyo kutoka nje ya ndoa, mume wake ambae
wamekua kwenye ndoa kwa miaka 30, Peter Crocker mwenye miaka 49, amesema
Gail alikua Mwanamke wake wa maisha.
No comments:
Post a Comment