HIVI BASATA MKO WAPI?? BONGO MOVIES SIKU HIZI NI ZA KIKUBWA TUU,WATOTO ZETU TUNA WAFUNZA NINI? TAZAMA PICHA HIZI ZA MOVIE MPYA INAYOINGIA SOKONI MAKALIO NA MATITI NJE NJE.......TATIZO HILI
Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.
Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa....
Je hii ni sahihi kwa maadili ya Kiafrika...?
No comments:
Post a Comment