29 December 2013

ANGALIA PICHA AUNGUZWA NA MAFUTA YA MOTO KISA VOCHA

MKASA MZIMA ULIKUWA HIVI.....

Kijana mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mke wa mtu anateseka hospitalini baada ya kuchomwa na mafuta ya kupikia ya moto na ndugu yake baada ya kuhisiwa kuiba vocha ya simu ya mtandao wa Telecel yenye thaman ya senti 50 huko Zimbabwe.Kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Otilia Kosa anayeishi Plot 16, Tsungwizi Ridge maeneo ya Nyazura huko nchini Zimbabwe anateseka katika hospitali ya Rusape General Hospital akiuguza majeraha aliyoyapata baada ya kumwagiwa mafuta ya moto na ndugu yake.
Inadaiwa kwamba mnamo tarehe 27 Decemba 2013, Otilia alimuuliza ndugu yake Kudakwashe kama yeye ndiye aliyetumia vocha yake ya mtandao wa Telecel yenye thamani ya senti 50 za kizimbabwe.Kudakwashe alikataa kuwa hakutumia vocha hiyo na hapo ndipo mtafaruku mkubwa ulipotokea kati ya wawili hao.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname