09 November 2013

ZALI LAMUANGUKIA JUMA KASEJA, SASA NI MCHEZAJI HALISI WA YANGA..!!


Kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa kuichezea Yanga rasmi, mkataba huo umesainiwa jana Ijumaa na ataanza kuitumikia timu hiyo katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Kaseja amesaini kwa dau la Sh milioni 40.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname