-
Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao
umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana
ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku zake za
mwisho. Ninasema hivi kufa kwa Chadema kama dalili zinavyoonyesha sasa
hivi sio the best Interest ya chama chetu CCM. Tunahitaji kuwasaidia
sana waendelee kuwepo kwa sababu they have proven time and time kwamba
ni paper tiger tu, wazuri kwenye makaratasi lakini hawana nguvu yoyote
kisiasa.
-
Kupitishwa kwa musawada wa Katiba mpya juzi bungeni ni mfano mzito sana
ulio hai wa jinsi wasivyo na nguvu kabisa za kisasa za opposed na
makelele yao ya kila siku na lile gazeti lao lenye makao makuu yake
kwenye Club ya Disco ya Mwenyekiti wao. Ninawaomba sana CCM tunahitaji
kuwa makini sana na matatizo ya chama hicho sasa hivi, tutumie nafasi
hii kuwasaidia wasiambaratike maana Chadema ikisambaratika tutaanza
kufukuzana na adui tusiyemjua, ni bora kushindana na huyu huyu adui
tunayemjua, anayelia posho za wabunge ni kubwa na huku anazipokea,
anayelia lia kwamba magari ya wabunge ni ya gharama sana na huku
anayapokea hayo hayo. Anayelia lia safari za Rais huku wabunge wake
wanasafiri kila siku nje kwa visingizo vya kamati za bunge.
-
AGAIN KWA WANA-CCM WOTE NI KWAMBA TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII
INAYOONGOZWA NA AKILI NDOGO, MAANA OTHERWISE TUTAKUTANA NA WAPINZANI
WENYE AKILI KUBWA WATATUSUMBUA, TUWASAIDIE WASISMBATRATIKE!! ha! ha! ha!
- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

No comments:
Post a Comment