Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya
Bongo Falava, Mwana FA akipata picha ya pamoja na NY Ebra wakati
alipokua akimfanyia mahojiano ya longa na Vijimambo yatakayokuwa hewani
Novemba 18, 2013 mahojiano hayo yalifanyika siku ya Ijumaa Novemba 8,
2013 huko Indian Orchard, Massachusetts nyumbani kwa Dj Rich Maka ambaye
ndiye mwenyeji wa Mwana FA.
Mdau wa New York Akida akipata picha ya pamoja na Mwana FA
No comments:
Post a Comment