22 November 2013

TAZAMA PICHA ZA 10 ZA WATUHUMIWA WA KUMUUA DR. SENGONDO MVUNGI KWA KUMCHARANGA MAPANGA..!!


Majambazi kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.

Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi ya mauaji hivyo wanarudishwa Segerea mpaka tarehe tano December kwa ajili ya kesi kutajwa.
2Hapa chini kuna majina yao, umri, wanakoishi pamoja na taarifa zao nyingine.
3
4
5

Credit:Millardayo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname