24 November 2013

TAZAMA PICHA NGUO YA KIM INAYOANGAZA AKIWA NAYO MTAAN YAAN UTAM MTUPU

Kim
Kim Kardashian mara zote huwa ni mtu makini sana linapokuja suala la mtoko huku hasa pale anapofahamu atakutana na jamii.

Mcheki hapa kwenye mitaa ya jiji la New York akiwa na nguo hii ambayo top yake ni ya nyavu nyavu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname