Dwayne Michael Carter,
Jr anajulikana kama Lil Wayne, anamiliki mjengo wenye thamani ya dola za
kimarekani 14 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania zaidi ya bilioni
22 na nusu, jengo hili lipo maeneo ya Miami ambambo ni karibu zaidi na
ufukwe wa bahari, Jengo hili la Lil wayne lina vyumba zaidi ya 6 ikiwa
ni pamoja na vya wageni, swimming pool pamoja na gereji 3.
Tazama picha 20 za mjengo huu kwa ndani, nje na kwajuu uone watu wanavyoishi kwenye maisha ya kifahari sana
Pendekeza ni msanii gani wa mbele ungependa kuona nyumba anayoishi kwa kucomment hapo chini kwenye sanduku la maoni..!

No comments:
Post a Comment