22 November 2013

BREAKING NEWZZZ....P-SQUARE WASHATUA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE USIKU HUU..CHEKI PICHA



23307ca052f311e3a1cd0a6ea6ffa675_8 
Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya

Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.
source-Djchoka

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname