Ngasa vs Snura wakiwa kwenye picha mahaba, ambapo picha hizoi zimedaiwa kuzusha balaa kwa mke wa Ngasa kiasi cha kusababisha mtafaruku mkubwa kwenye familia hiyo. |
Hapa Ngasa akitaka kumla mate Snura
Mrisho
Ngasa akizichezea Lips za Snura chumbani wakiwa wawili.
Na Sakina Shabani
Mwanamuziki
staa wa wimbo wa majanga Snura Mushi ameingia kwenye kashfa ya
kutetelesha ndoa ya mchezaji nyota wa timu ya Yanga Mrisho Ngasa baada
ya picha zao wakiwa wawili chumbani kuvuja.
Habari
za uhakika zilizotua mezani kwa Kupitia XDEEJAYZ zilisema kuwa Mke wa mrisho
ngasa alipandisha Presure baada ya kuona picha mumewe akiwa na
mwanamuziki mwenye sifa ya kukatia pengine kuliko mwanamuziki yeyote
Tanzania kwa sasa ukiacha zamani Ray C.
Hata
hivyo picha hizo zilioneska zimepigwa wikiend iliyopita, hata hivyo
watu wamemtahadharisha Ngasa kuhusu Snura akifanya mchezo nae anaweza
kuisahau familia yake.
CDT:XDEEJAYZ
No comments:
Post a Comment