09 November 2013

REFA ALIYECHEZESHA SIMBA NA KAGER AFUMANIWA NA MWANAFUNZI

Mwamuzi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Mohamed teofile ,jana majira ya saa 6 usiku amekamatwa na polisi katika gesti ya Maleu iliyopo maeneo ya Mji Mpya mkoani hapa akidaiwa kukutwa na mwanafunzi wa kidato cha pili.
Mara baada ya kutokea kwa kutukio hilo baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na gesti hiyo walidhibitisha refa na mwanafunzi huyo wameshapelekwa kituo kikuu cha polisi.Muhudumu wa gesti hiyo aliyejitambulisha kwa jina la  Charles Steven.alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwenye gesti yake muda huo.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname