11 November 2013

MWANAFUNZI WA KIDATO CHA 4 AFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE MTIHANI WA HISABATI

 Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mbande iliyopo Mbagala, Dar, Doricy Tryphone (18) amefariki dunia ghafla akiwa katika mtihani wake wa Hisabati wa kumaliza kidato cha nne, mwaka huu.Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea Novemba 5, mwaka huu, Mbagala jijini Dar, wakati Doricy akifanya mtihani na wanafunzi wenzake

Ilisemekana kuwa akiwa katikati ya mtihani huku ‘akisovu’ namba, ghafla binti huyo mzuri na mwenye mvuto  alizidiwa na kuishiwa nguvu, jambo lililowalazimu walimu na wasimamizi wamkimbize katika zahanati iliyopo jirani na shule hiyo

Habari zilieleza kuwa baadaye hali ilizidi kuwa mbaya, ikabidi ahamishiwe kwenye Hospitali ya Temeke ili kuokoa uhai wake.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname