LICHA
ya kuwa waliwahi kupokonyana bwana (Nasibu Abdul ‘Diamond’), mwigizaji
Wema Sepetu na mtangazaji Jokate Mwegelo wamekutana katika msibani na
kupiga stori.
From:GPL
Wema Sepetu.
Kwa mujibu wa meneja wa Wema, Martin Kadinda, Jokate aliibuka Jumanne
iliyopita usiku kwenye msiba wa baba Wema uliochukua nafasi nyumbani
kwao Sinza-Mori jijini Dar na kumfariji hadi usiku mnene.
Jokate Mwegelo.
“Fani ya urembo na ubunifu ni fani za watu makini sana ambao chuki
kwao ni mwiko, nimefurahishwa na kitendo cha Jokate kuja msibani kwani
anaonyesha dhahiri kuwa ni mtu mwenye huruma na imani,” alisema Kadinda.From:GPL
No comments:
Post a Comment