USHAHIDI WA RISITI YA ZITTO KABWE KUWA BADO ALIKUWA ANACHUKUA POSHO MPAKA 2011 YAANIKWA MTANDAONI
Kwa mjibu wa stakabadhi hii...zitto
alikuwa napokea sitting allowance hadi 2011,kinyume nan alivyo mjibu
muheshimiwa lema kwamba ameacha kupokea sitting allowance tangu 2009
hata zile za vikao vya madiwani...tujadili. Chanzo: Jamii Forums
No comments:
Post a Comment