26 November 2013

MSANII STEVE RNB AMVALISHA PETE MCHUMBA WAKE, SOMA NA TAZAMA PICHA HAPA



Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake. steve rnb engaged 2
Rumour has it kwamba steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa

muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa. CREDIT : VIBE.CO.TZ

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname