10 November 2013

Mimba yaiharibu sura ya Rose Ndauka baada ya uso wake kuvimba kila mahali




Mwanamke mjamzito hatambuliki kwa tumbo lake tu, bali hata usoni. Miongoni mwa mabadiliko anayoanza kuyapata mwanamke awapo na ujauzito ni uso wake kuvimba hasa sehemu ya pua.
 
Hali hii ndio iliyoanza kumtokea, staa wa filamu nchini, Rose Ndauka ambaye ni mjamzito wa miezi kadhaa.
Akiweka picha aliyopiga na mchumba wake, Malick Bandawe aka Chiwaman wa kundi la TNG Squad kwenye Instagram, Ndauka ameandika:
 
“Unanafasi nyingi sana kwenye maisha yangu mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya tele @don_chiwaman ...nakupenda sana hubby wangu.”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname