MABESTE AHAIDI KUYATAJA MABAYA ALIYOFANYIWA NA B HITS, NI BAADA YA KUJITOA KATIKA KUNDI HILO. SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Mabeste pamoja na wasanii wenzake Vanessa Mdee na Gosby imetangazwa rasmi kwamba hawapo tena kwenye lebo ya B hits music group.
Mabeste ametoa ya moyoni kwamba Hermy B ambaye ni boss wa lebo hiyo
amesema maneno ambayo si kweli kuhusu ku-invest zaidi ya millioni 30
kwake,amemlipia kodi ya nyumba na pia anamnunulia nguo.
Hiki ndicho alichoandika Mabeste na ameahidi kusema zaidi leo hapo baadae
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
No comments:
Post a Comment