10 November 2013

LIGI KUU ENGALND : MAN UTD USO KWA USO NA ARSENAL


leo ndo leo kuna mechi kati ya Arsenal na Machester United je ni nani ataibuka na ushindi?basi fatilia hapa hapa matukio yatakayokuwa yakiendelea katika mchezo huo utakao pigwa majira ya saa 19:10 kwa saa za Tanzania kuelekea mechi hii  Arsenal ni Vinara wa Ligi na wana Pointi 25 kwa Mechi zao 10 za Ligi wakiwa PointRVP_n_WENGERi 5 mbele kileleni na hawajafungwa katika Mechi zao 14 kati ya 15 za Ugenini.

Ushindi wao wa mwisho umekuja Jumatano huko Germany walipoifunga Borussia Dortmund Bao 1-0 kwenye Mechi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI na Wenger anaamini Mechi yao hii ya Old Trafford ni moja ya Mechi zao ngumu.

Wenger amesema: “Hii ni moja michezo ambazo zinakufanya ujenge imani na kupata mafanikio ukishinda. Hivi karibuni hatujafanya vizuri Uwanja ule. Kitu muhimu ni kuamini uchezaji wetu na umahiri wetu. Ni nafasi nzuri kuonyesha sasa tuna mafanikio.”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname