Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea
Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa
jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku
akitumia magari yake kama gest ya kumalizia haja zake.
Website hii inakupa mchongo mzima Habari
za uhakika zilizotua mezani kwenye meza yetu ya habari zilisema kuwa
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa
ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake"
Kwa kweli Wema Sepetu alikuwa
anampenda sana Chid kutokana na ubunifu
wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia
magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo
sana na alikwenda kila mahali "
Kilisema chanzo hicho ambacho ni ndugu
na Wema aidha habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa
hizo aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya
kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo
kung'olea watoto wakali"
Unajuwa Wema ana mashabiki sana hata
ile gari wakati mwingine alikuwa anavunja hata sheria za barabarani bila
kufanywa chochote hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na
wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari basi wanaingia wenyewe kwenye
gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid
na wenzake kuwamaliza wasichana hao"
Alisema dada huyo Aidha baada ya
taarifa hizo tulivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na Wema ili
kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea kutimuana kwa
bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi habari hii
inaruka hewani:
Source:XDEEJAYZ

No comments:
Post a Comment