Ni Gabriel Munissi ambae alijiua kwa risasi Ilala Dar es salaam November 19 2013 baada ya kuua
watu
wengine wawili kwa risasi asubuhi kati ya saa moja na saa mbili,
amezikwa kwao Nkoshashi Wilaya ya Hai Kilimanjaro leo November 22 2013.
Gabriel
ambae amefariki akiwa na umri wa miaka 31, anadaiwa kufanya mauaji ya
watu wawili aliowasubiria nje ya geiti wakitoka nyumbani kwao
(waliouwawa) huku chanzo kikitajwa kwamba ni kisa cha kimapenzi.
Kama alijua kitakachotokea, alichokiandika cha mwisho kwenye page yake ya facebook kiko chini kabisa mwa hii post.
Baba na mama wa Marehemu.
Mkuu wa Bandari ya Bukoba Ernest Nyambo, Athuman Tippo na Waziri Kabago wakiwa na brothers wengine waliojumuika kumzika Gabriel.
Nyambo akizungumza na baba mzazi wa Marehemu.

Hii ni status ya mwisho ya Gabriel kwenye facebook.
Credit:millardayo
No comments:
Post a Comment