17 November 2013

HUYU NDO MKE WA MCHUNGAJI ANAYE VAA MAVAZI YANAYOWEKA MWILI WAKE WAZI

Megan Good

Megan Good ni mwanamke aliyeolewa na Mchungaji Devon Franklin. Watu wengi wamekuwa wakishangaa na kujiuliza ni kwa nini mke huyu wa Mchungaji huwa anatoka akiwa amevaa kama msichana wa mtaani, na kwa nini mume wake haonekani kukemea jambo hilo...?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname