Hatimaye Aunty Ezekiel amerudi kazini na yuko mbioni kutoa movie mpya iliyo pewa jina la "MWAJUMA NIPE". Movie matata sana hebu pata kuona kinacho endelea location hivi sasa kwa kubofya play.........
Unaweza ukamwita Da mwaju...
Mwajumaaaa aka Da Mwaju akiwa kazini
Mwajuma nipe coming soon.... stay tuned
Bi Mwenda ndani ya Mwajuma Nipe
Hahahahahhaahaha sasa Mwajuma nipe zaidi ya movieeeeee
No comments:
Post a Comment