23 November 2013

BIASHARA NA KAZI ZA RAPA JEEZY KUSIMAMIWA NA ROC NATION YA JEEZY

Rapper Young Jeezy ametangaza kuanza kufanya kazi na  Jay Z na lebel yake ya  Roc Nation.
Jeezy ametangaza taarifa hizi kupitia twitter account yake kuwa Jay z na Lebel yake watasimamia sehemu ndogo ya muziki wake na kampuni yake ya CTE.

Mixtape ya Jeezy ItsThaWorld2 inatoka November 27 na imesimamiwa na producer mkali anaijiita Drumma Boy. Toleo la kwanza la mixtape hii ya #ItsThaWorld ilitoka mwezi wa tano.

In My Head ni joint ya kwanza kutoka kwenye album hio ya Jezzy na tayari ametoa video teaser inayozungumzia ujio huo akiwashirikisha 
Usher, Future na Ludacris na deejays watakao husika ni DJ Drama na Don Cannon.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname