24 November 2013

BASI UNAAMBIWA HUYU MISS ALIKUWA MWANAUME


Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.

Jana kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname