STAA wa tasnia ya filamu hapa Bongo, Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby.
Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo na siyo…
No comments:
Post a Comment