30 October 2013

TAZAMA PICHA NA VIDEO ZA YULE MGANGA ALIYEKUTWA NA KIGANJA CHA MTU KIKIVUJA DAMU..!!



Watu watatu wakiwemo waganga wawili wa jadi wamekamatwa na polisi katika eneo la Igombe Tx, jijini Mwanza wakiwa na kiganja cha mkono wa kulia unaoaminika kuwa wa binadamu.  

 
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, kamishna msaidizi wa polisi Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea eneo la kati ya ziwani na nyuma ya uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya raia wema kuwapa taarifa za siri.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname