31 October 2013

SALAMA JABIR AWACHANA WADADA WALIOKUA WAMEJIPANGA NJE YA HOTEL, WAKISUBIRI URODA WA BURE KUTOKA KWA KINA DAVIDO.



kiruuuuuuu
kumbe walikuwa wanatega


hawa watoto wana nini jamani
machizi mastaa ama
salama anawaomba
wakiwa chumbani
wawaombe hubby waendelezee music wetu
maana si kumegwa na kuachwa tuu


Kama ulikuwa hujui sasa nakujuza, wasichana walijipanga ktk ile hotel na kusubiri service ya buree kabisa kutoka kwa wale int musicians,
 Una lolote la kusema kuhusiana na dada zetu kutega mingo pale ..... hotel kuwasubiri wakina Davido na wenzao watoke wawape uroda wa bureee bila kulipia VAT??? Oooooh Lord have mercy

i do the seeking and you do the judging.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname