07 October 2013

KWELI AZAM TV NI MWISHO WA MATATIZO...CHEKI MITAMBO YAO YA KISASA IKIWA UWANJANI IKIFANYA KAZI

AZMA TV imeanza kuonyesha mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Kituo cha TBC1. ambapo mechi ya kwanza ilikuwa ni mchezo kati ya Simba na Ruvu Shooting, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Picha nyingine ni baadhi ya wafanyakazi wa Crew ya AZAM TV wakiwa kazini ndani ya Uwanja wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname