BREAKING NEWZZZZ....VIJANA 11 WAMEKAMATWA NA CD 25 WAKIFANYA MAZOEZI YA KIJESHI WILAYANI NANYUMBU-- MTWARA
Vijana 11 wamekamatwa Mkoani Mtwara wanafanya mazoezi katika
msitu wa Makolionga na CD zenye mafunzo ya kigaidi za Al Qaeda na Al
Shabab pamoja na zana za hatari
source-itv
No comments:
Post a Comment