08 October 2013

KUMBE..PENNY NA WEMA WALIKUA MASWAHIBA WA KUFA MTU KABLA YA KUWA MAADUI HIVI KARIBUNI?? TAZAMA PICHA ZAO HAPA...!!




 Kumbe Wema Sepetu na Dvj Penny walikuwa marafiki wakubwa kabla ya kitendo cha nyota wa muziki wa bongofleva Diamond Platinum kuuvunja urafiki huo kwa kuamua kuanzisha uhusiano.

Diamond ambaye ndiye chanzo cha kuvuruga uhusiano huo baada ya kuanzisha uhusiano mpya na mtangazaji huyo maarufu wa DTV Penny, ambapo sasa wadada hao wawili wamekuwa chui na paka.





 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname