10 October 2013

HIZI NI HATUA TISA ZINAZOKUWEZESHA KUUFANYA MWILI WAKO UZIDI KUWA MZURI NA MUONEKANO WENYE MVUTO.


HIZI NI HATUA TISA ZINAZOKUWEZESHA  KUUFANYA MWILI WAKO UZIDI KUWA MZURI NA MUONEKANO WENYE MVUTO.
IMG-20131009-WA0033
1. Kuwa mrembo haimanishi kubadili uhalisia wako. jaribu kutokubadili uhalisia wako wa ngozi

IMG-20131009-WA0022
2. jifunze kuwa mtu wa mazoezi na kuupenda mwili wako. hakikisah unafanaya mazoezi kwaajili ya kuweka mwili sawa .
IMG-20131009-WA0023 (1)
3. Jikubali kwa namna unavyoonekana na jisifie pale inapowezekana
IMG-20131009-WA0024
4. Hakikisha unajua make up gani inakufaa na itayowezakwenda na ngozi yako
IMG-20131009-WA0026
5. Kuwa mbunifu wa uvaaji wako kila siku unapotoka kwenda kukutana na marafiki au maeneo mbalimbali
IMG-20131009-WA0027
6. Jua nyakati za uvaaji wa mavazi yako. sio kuvaa tuu kwa sababu nguo ni ya bei ghali
IMG-20131009-WA0028
7. Jifunze namna ya kutembea kwa maringo yanayoendana na mavazi unayovaaa.
IMG-20131009-WA0032
8. Marashi ni kitu muhimu katika mwili wako ila chagua marashi yenye nakshi na harufu nzuuri.
IMG-20131009-WA0034
9. N mwisho kabisa jisikie mwenye furaha na onekana mwenye tabasamu la mafanikio kila mara kwani huutengeneza uso wako katika hali nzuurin kabisa.
Ukizifuata hatua hizi Tisa zitakusaidia kuufanya urembo wako uwe mzuri zaidi na wenye kuvutia.
CREDIT TO: Amina Amaru Instagram @Kivalant


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname