30 October 2013

HATIMAYE DIAMOND PLATNUMZ NAYE AHUDHULIA MAZISHI YA BABA YAKE NA WEMA SEPETU HUKO ZANZIBAR


Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......


Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu 
Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname