10 October 2013

BAADA YA KUTOSWA NA DIAMOND, TAZAMA PICHA 10 ZIKIMUONESHA PENNY AKIWA KAZINI AKIFANYA YAKE..!!







 Huyu hapa THE FIRST LADY WA XTREME DEEJAYZ VJ PENNY akiingiza sauti kwenye tangazo la uzinduzi wa xtreme deejayz,utakaofanyika ijumaa hii new maisha club dar, kwa kiingilio  cha buku 10 tu.chama linaloendeshwa na zungu mnyama,dvj majey na hyperman hk.













 Hapa akisoma scipt kwa uzuri kabisa,tayari kwa kuanza kupiga panch zake ya  kinyama




 Hapo akiupload picha huku akisoma scipt yake.




 kazi imeanza hatari sanaaaaaa




 baby katuma msg ngoja asome kwanza




 Hapo mr gm anamuelekeza kidogo nilisikia akimwambia,achanganye kiswahili na kingereza hasiweke wazungu sanaaaaaa



producer  sendo akifatilia kwa makini sauti ya vj penny

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname