03 October 2013

AUDIO: MSIKILIZE MSANII DAZ BABA AKILALAMIKA MARA BAADA YA MAGAZETI KUMZUSHIA UKICHAA...!!


Msanii aliyekuwa akiunda kundi la Daz Nundaz amesema kuwa mashabiki waache kusikiliza maneno ya mtaani umbea kuwa yeye kawa kichaa na kuwa anatumia madawa ya kulevya. 



Daz Baba alisema kuwa hatumii madawa ya kulevya na wala si kichaa kama watu wanavyosema,”kichaa hawezi kwenda shule, lakini labda wakati wengine ninavyoongea watu wanaona nimedata kwasababu kiukweli machizi wangu wanafariki kwahiyo wakati mwingine nadata”, Daz..

Aliongeza kuwa mashabiki wake wakae tayari kusikia kazi zake mpya, “Peace and Love”,Daz Baba..MSIKILIZE HAPO CHINI.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname