03 October 2013

"NACHANGIA ASILIMIA 20 YA KILA MSHAHARA WANGU KUBORESHA ELIMU JIMBO LA UBUNGO"....JOHN MNYIKA


Leo nimekabidhi madawati 120 Kata ya Manzese kwa shule tatu za msingi fedha kutoka katika mfuko wa jimbo. Bado kuna upungufu wa madawati 570 ambapo dawati moja linagharimu Tsh. 80,000 hadi 100,000.

Binafsi nachangia asilimia 20 ya kila mshahara wangu kuboresha Elimu ndani ya Jimbo la Ubungo!

Ungana nami tuboreshe elimu na kuimarisha pia maabara kwa kuchangia kupitia MPesa 350350.

Pamoja Tunaweza.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname