09 September 2013

HUYU NDO MWANAMKE ALIYEPOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFAMANIWA NA MUME WA MTU HUKO BUKOBA.



alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktari hana sehemu zake za siri



Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya Kufumaniwa na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu 


panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...

majanga jamani ...mama alipoteza sehemu za siri akipelekwa polisi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname