UPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za Jeshi la Polisi
wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha
Fedha.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa
tukio hilo..
Habari zaidi baadae.
No comments:
Post a Comment