12 August 2013

Sakata la dawa za kulevya,hatimaye mfanyakazi wa AIR PORT ya DAR asimamishwa kazi rasmi

Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege nchini, Deusdit Kato, amesema mtuhumiwa aliyesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuhusika na kupitishwa kwa kilo 150 za dawa za kulevya ataisaidia polisi kuwataja wengine alioshirikiana nao kwenye mchakato huo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname