25 August 2013

HIKI NDO KITU KILICHO LETA HOFU KATIKA KANISA LA KKKT KIJITONYAMA KIKIZANIWA KUWA NI BOMU kikiwa kimening'inizwa katika Transfoma


Polisi wamefika na kuthibitisha Sio BOMU na wamefungua kitu hicho na kuondoka nacho.
Ukiangalia picha kwa makini utaona kidude chenyewe kikiwa kinani ng'inia katika ntansifoma

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname