25 August 2013

Breaking NEWZZZ....KITU KINACHO SADIKIKA KUWA NI BOMU KIMETEGWA kanisa la kijitonyama Kkkt ,POLISI WASHAFIKA ENEO LA TUKIO

HILI NDILO KANISA LINALO DAIWA KUTEGESHWA KITU HICHO
Kinachoninginia kwa hiyo transfoma inasadikiwa ni bomu...
Polisi wamefika tayari


TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE
BAADA YA UCHUNGUZI NA TAARIFA RASIMI TOKA POLISI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname