30 August 2013

Nisha kwa mara ya kwanza afunguka ya moyoni kuhusu Hemedy "PHD"

Leo mwigizaji Hemedi Suleiman maarufu kama Hemedy PHD anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 27 katika ulimwengu huu.

“HAPPY BIRTHDAY.. mwanaume unaefanana na mwanaume wa maisha yangu, mwanaume nnaempenda kuliko chochote duniani,mwanaume alienifanya nisione mwingine duniani zaidi
yake,mwanaume akiyenipunguza kilo kumi ndani ya siku 20,(mind ur own bizzness usiniulize kwanini), ninapokuangalia ww namuona yeye,, HAPPY BIRTHDAY my Lusungu my Fernandoo .. my Mathias,, maisha mema na yenye baraka tele yawe mbele na nyuma yako..”

Huo ni ujumbe alioundika mwanadada Nisha kwa Hemedy.

Happy birthday Hemedy.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname