Ni
mazoea ambayo watu wake wamekua nayo kwamba akiwa na tukio kama hili
basi ni lazima atalifanya kwenye mojawapo ya club za usiku Dar es salaam
kama alivyokua akifanya mara nyingi lakini
this time staa huyu anaelipwa ghali zaidi kwenye show zake ambae pia siku zake za kupumzika mara nyingi ni jumatatu au jumanne ameenda kwenye levo nyingine.
this time staa huyu anaelipwa ghali zaidi kwenye show zake ambae pia siku zake za kupumzika mara nyingi ni jumatatu au jumanne ameenda kwenye levo nyingine.
Diamond
Platnumz kesho August 29 2013 anategemea kuitambulisha kwa fans wake
video yake mpya kabisa ambayo picha zake zilisambaa kwenye mtandao
ambapo ameishoot Afrika Kusini na hili tukio litafanyika kwenye hotel ya
kifahari Dar es salaam… Serena.
Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko
maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia
kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na
wengine lakini this time Diamond Platnums amekodi ukumbi alafu hataki
watu walipe kiingilio, yani anaalika tu.
No comments:
Post a Comment