KIKAO CHA BODI YA CHUO KIMEKAA LEO NA BODI IMETOA MAAGIZO YA AWALI KWA UTAWALA WA CHUO AMBAYO YATATANGAZWA KWA KUPITIA WEBSITE HII,, WEBSITE YA CHUO ,WEBSITE YA SERIKALI YA WANAFUNZI NA MAGAZETI ,PITIENI MITANDAO HII MARA KWA MARA ILI UWEZE KUPATA TAARIFA YA UHAKIKA NA MAPEMA ZAIDI,MTAARIFU MWENZIO PINDI UPATAPO TAARIFA HII
source-BENJAMINI (RAIS WA CHUO)
No comments:
Post a Comment