WALE MATAPELI WALIOTAPELI WATU KWA JINA LA ZITO KABWE NA HATIMAYE UKWELI
WAO KUJULIKANA KUA NI MATAPELI, SASA WAMEKUJA KWA NJIA MPYA KABISA.
UCHUMGUZI ULIOFANYWA NA PAPARAZI WA BONGOCLANTZ.COM, UMEGUNDUA KUA NOW
WAMEKUJA NA KUTAPELI WATU KWA NJIA YA SACCOS NA WAMEIITA AKIBA SACCOS BANK. AMBAO PIA UNAWEZA WAPATA KWA LINK HII http://www.akibasaccos.wapka.mobi/index.html
KATIKA UTAPELI WAO HUO HUJIFANYA KUA WANATOA MKOPO WA KUANZIA LAKI TANO
HADI MILLIONI 20. NA ILI UJIUNGE NI LAZMA UJAZE FORM YAO AMBAYO
UTATAKIWA KUWATUMIA SH 25,000 KWENYE NAMBA
0766 343 693 AMBAYO WANASEMA WAMEISAJILI KWA JINA LA AKIBA SACCOS LAKIN JINA SAHII KWENYE LA USAJILI WANAMBA HIYO NI DEUS MARINA
NA ILI KUHAKIKISHA WANAPATA WATU WENGI ZAIDI WAMETENGENEZA ACCOUNT FAKE YENYE JINA LA MTANGAZAJI MAARUFU WA TANZANIA "SALAMA JABIR" KATIKA MTANDAO WA FACEBOOK. UNAWEZA ICHEKI ACCOUNT HII KWA KUCLICK LINK HII HAPA . WAMEAMUA KUTUMIA JINA LA SALAMA WAKIJUA ANAPENDWA SANA NA WATU NA WATACHOSEMA KATIKA ACCOUNT HIYO WATU WATAMWAMINI. KATIKA ACCOUNT HIYO NIMEWEKA BAADHI YA USHAHIDI KUONYESHA WANACHOKIFANYA KATIKA WALL HIYO

HII NDO WALL YENYEWE |
MOJA KATI YA STATUS KATIKA WALL HIYO |
MMOJA KATI YA WALIOTAKA MKOPO |
HAWA JAMAA WAPO WENGI NA WANAPEANA SUPPORT, KAMA HUYO WILHAD NA OTHMAN NI WENZAO |
CHANZO : BONGOCLANTZ.COM
No comments:
Post a Comment